Anapenada Vitu vya bei kali Kama hajui ati sina mali Ananiomba vitu vya bei kali Nikiwa sina yeye hanijali Kutano lakwanza ilikua Mombasa Rohoni nilisikia nimempata sasa Kumbe hata yeye Alininoki pia Jioni tukaenda pamoja out for a beer Nilishanga alinza kuomba whisky Na vinyaji vya bei bila kua tipsy Niliamua twenda dance floor tucheze Akakata ati hapendi nyimbo za lingala Repeat Anapenada Vitu vya bei kali Kama hajui ati sina mali Ananiomba vitu vya bei kali Nikiwa sina yeye hanijali Siku nyingine alikuja kampala Tuka'anza kutafuta hotel ya kulala Nikampeleka hotel inje ya Kampala Hio ndio nilkua naweza lipia Tukafikepo akaanza kunicheka Nakusema ati sheraton kuko better Nikatafuta rafiki yangu anisaidie Kwa bahati mabaya ata yeye nilimkosa Repeat Anapenada Vitu vya bei kali Kama hajui ati sina mali Ananiomba vitu vya bei kali Nikiwa sina yeye hanijali Nilpanga tuende pamoja kigali Tukale Hepi sababu nilikua na mali Akafurahika penzi ltu kufika mbali Kumbe kuenda kigali ndio ilikua hatari Nilimpeleka restaurant akakata ugali Ati hawezi kula alikatazwa Daktari Nilijifanya mjinga kama simjali Kumbe kesho namtoroka nimwache Kigali! Repeat Anapenada Vitu vya bei kali Kama hajui ati sina mali Ananiomba vitu vya bei kali Nikiwa sina yeye hanijali Muape fasi Kampala-Uganda Muape fasi Muape fasi Daresalaam-Bongo Muape fasi Kigali-Rwanda ndabakunda nimuze tubyine Olobi ndenge nini bana Congo bapewe fasi Nairobi, Mombasa, Kisumu, Kenya yote wape fasi Sita sahau Burundi Bujumbura wote wape fasi Amuka basi umepewa fasi amuka basi Amuka ndugu umepewa fasi amuka basi Kampala mulungi nyo naye ajjudde abateesi Kampala muzuri sana naye ajjudde abateesi Atooba bakaye, nange nsazeewo nkaaye Ababylon bakaaye Chamele Nsazeewo nkaaye Jeff akaaye Musta ne Twista bakaaye Chamele Nkaaye, ne chaga yaga yo akaaye Fenna Tukaaaye Repeat Anapenada Vitu vya bei kali Kama hajui ati sina mali Ananiomba vitu vya bei kali Nikiwa sina yeye hanijali