0:00
3:02
Now playing: Maama Mia

Maama Mia Lyrics by Jose Chameleone


Hé, hé, hé
Oli, oli, oh
Tumezaa na wewe watoto wanane
Sasa waniwacha
Unasema umechoka na mimi masikini
Sasa wanitupa
Niende wapi? Na nifanye nini?
Watoto wanalia huko nyumbani
Lakini hizo mambo ni za duniani
Ume weka raha mbele, wewe uni oni, Njoki
Mbona umeniacha
Umeniachia watoto
Mpaka wanalia huko nyumbani, Njoki
Mbona umenitupa
Kama na figure yako
Ndiyo kama ya chupa, Njoki wewe
Mimi ndiyo mpenzi
Usitupe eti mimi sina mali
Tafadhali hao wa mapenzi, wako na pesa
Alafu hawana mapenzi
Hiyo ni kweli, Chameleone ndiyo mpenzi
Usitupe eti mimi sina mali
Tafadhali hao wa ma Bima wako na pesa
Alafu hawana penzi
Mbona umeniacha
Umeniachia watoto
Mpaka wanalia huko nyumbani, Njoki
Mbona umenitupa
Kama na figure yako
Ndiyo kama ya chupa, Njoki
Mama mia, mama mia
Mama mia, mama mia
Mama mia, mama mia
Mama mia, mama mia
Sasa watoto wanalia, angalia
Chameleone mi nalia, mama Mia
Shida ni mengi kwa duniani
Mingi hata wanaume wanalia kweli kweli
Kila siku pesa na mafuta
Kumnunulia, Hakuna Mafuta
Kumbe siku moja atabadilika
Mbona una badilika ume ni tupa
Mama Mia
Ogopa Deejays (Dothie)
Situwa sike tomboa
Situwa sike ya roga roga
Situwa sike tomboa
Situwa sike ya roga roga
Situwa sike tomboa
Situwa sike ya roga roga
Situwa sike tomboa
Situwa sike ya roga roga
Mbona umeniacha
Umeniachia watoto
Mpaka wanalia huko nyumbani, Njoki
Mbona umenitupa
Kwa maana figure yako
Ndiyo kama ya chupa, Njoki
Mbona umeniacha
Umeniachia watoto
Mpaka wanalia huko nyumbani, Njoki
Mbona umenitupa
Kwa maana figure yako
Ndiyo kama ya chupa, Njoki wewe