0:00
3:02
Now playing: Jamila

Jamila Lyrics by Jose Chameleone

Muda mrefu Jamila hatuonani
Penzi gani imekuleta kwangu nyumbani?
Karibu nikupe kiti, unielezee nini mama?
Jamila alipokaa aka'anza kulia
Oh, nakushindwa kuongea
Ata mimi mwenyewe nikaumia kujiuliza kwa nini analia?
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh)

Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa
Jamila aliponza kuongea
Aliongea na maumivu mingi
Navile ali'kua anaongea
Nikamuonea huruma
Ati walianza penzi bora
Siku nyingine harudi nyumbani
Kumuuliza kama amepata mwengine
Akamfungia virago
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa
Sijui nitamsaidiaje?
Jamila nimwambie afanyeje?
Nitamupa kitanda, chakula akule
Lakini mambo ya mapenzi naogopa
Zamani mimi nae tulishindana
Nikapata muke akapata bwana
Sasa analia Chameleone nifanyaje?
Jamila analia nimwambie afanyeje? Eh
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa
Muda mrefu Jamila hatuonani
Penzi gani imekuleta kwangu nyumbani?
Karibu nikupe kiti, unielezee nini mama?
Jamila alipokaa aka'anza kulia
Oh, nakushindwa kuongea
Ata mimi mwenyewe nikaumia kujiuliza kwa nini analia?
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa
Sijui nitamsaidiaje?
Jamila nimwambie afanyeje?
Nitamupa kitanda, chakula akule
Lakini mambo ya mapenzi naogopa
Zamani mimi nae tulishindana
Nikapata muke akapata bwana
Sasa analia Chameleone nifanyaje?
Jamila analia nimwambie afanyeje? Eh
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)
Jamila analia (ah-ha), bwana wake -